Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Noma, ila sawa tu kila watu wana mambo yao mabaya na mazuri. Sema huyu Surbi aache kusema eti hatujui mapenzi, hata kama wabahili ili kunjunjana na malove tunajua bwana, labda alikutana na mpare wa hovyo hovyo![]()
Hahaha watu hawafanani
Sio wote mpo hivyo
Hapo sasa kwenye kujua mapenzi

Muwafundishe hiki kizazi kipya jamani




