Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Salama jirani vipi weweJiraniii.....
Natumaini hujambo.
Habari ya asubuhi
Salama jirani vipi weweJiraniii.....
Natumaini hujambo.
Kiringe kiko salama lakini mkuu?Ndio naamka![]()
Mbeya Boy
Umetisha sana chief
Saint AnneMbeya is my hood
Toa emoji dada mzuri!
Mrembo wetu wa Mzumbe😍😍😍
Weka na ya full dada mzuri bathi !!
Asante bestMrembo wetu wa Mzumbe
Nani kasema mzumbe hakuna vyombo??
Atakua katogwa huyo
Ahsante madam![]()

Tuone Ivoivo dada mzuri!!
Eeh yaani hapo nimekodoa macho
Mtakimbia![]()
Mmh ninayo basi huwa naonaga shida posing for a camera .Weka na ya full dada mzuri bathi !!
Baridi kwetu jirani. Ila salama.Salama jirani vipi wewe
Habari ya asubuhi
Mida yetu ya kujilipua nitawekaTuone Ivoivo dada mzuri!!
Ulikuwa kingo auWeh usiniambie
Ila mimi nilikuwa mtu wa ghetto sana huko
Nikirudi toka venue huyo kupika
Eeh poleni hukoBaridi kwetu jirani. Ila salama.
Hali ni tete huku..Eeh poleni huko
Halishuki tu huko
Huku salama tu jirani
Aiseeehhh!!Mmh ninayo basi huwa naonaga shida posing for a camera .
Hadi itokee nilazimishwe na bff wangu
Yeah nimekaa first year hapo eehUlikuwa kingo au

