Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,222
- 50,170
Habari ya mimi njema/salama kabisa LeniePoa Ely
Habari ya wewe
AMINAVema
Nenda kaogeleee baharini huko 🤣Nimeamka kibua mie😂😂
Salama kabisa jirani...kwetu baridi bado kali sana.Na kwako pia jirani
Natumai umeamka salama
Mda gan???
Mbeya Boy
Habari ya leo BossMbeya Boy
Umetisha sana chief
Salama kabisa madam wa Mzumbe😉Habari ya leo Boss
HahaSalama kabisa madam wa Mzumbe
Umemisika rafiki yangu
Nimeamka salama sana madamHaha
Miss you too best
Umeamkaje
Sina picha mpya nduguNimeamka salama sana madam
Selfika nasi rafiki yangu
Ni rahisi tu unachukua simu unawasha camera unaielekeza upande zilipo lips za dhabu utapiga selfie kali chap alaf unaupload for 2 mnts unadelate😜Sina picha mpya ndugu
Nipo tu nipo tu
Hahha camera yangu inatoa picha ovyoNi rahisi tu unachukua simu unawasha camera unaielekeza upande zilipo lips za dhabu utapiga selfie kali chap alaf unaupload for 2 mnts unadelate![]()

Madam utapata dhambi wewe kumnyima mjep selfie shauri yako🏃🏃🏃Hahha camera yangu inatoa picha ovyo
Kwa hiyo sitaki kujichosha mie na mapicha![]()
Jiraniii.....Hahha camera yangu inatoa picha ovyo
Kwa hiyo sitaki kujichosha mie na mapicha![]()
Ndo ukweli huo kakaMadam utapata dhambi wewe kumnyima mjep selfie shauri yako![]()
Hata hiyo madamNdo ukweli huo kaka
Nitatokea kichechekesho
Nikupe ya zamani labda