Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sasa hapa ntaharibi uzi nweiiiii

Mtu kamuacha mkewe na watoto, kumbe yeye ni Mke wa mtu piaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dunia simama nishukee, hiyo n baada ya mkewe kumfuma rooms akiwa na........

Khaaaaaaah.
Basi Hapo wamekufikisha !! unapenda izo mwenyewe!!!!
 
Toka hapa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Coet, conas, coaf, school of law, koteee sura za baba yaani pisi ni za kuhesabu,,na hzo zikienda cohu zinaonekana za mwisho

Wale wanaosoma political science, sijui external affairs,, udbs, cohu, ndo kuna pisi,,, nyie wa kozi ngumu hakuna pisi
[emoji23][emoji23]

Sent from my LND-L29 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom