Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Thank Allah for another year of life



HAPPY birthday To me




I'M SO BLESSED View attachment 2296074
giphy.gif
Happy birthday and many happy returns of the day . May our Good Lord bless you with everything you desire.
 
Uwiiiii ningezimia nikufwe kabisa🤣🤣

Hata sitaki kuimagine alifeel vipi maskini, hizi mambo za kuchanganya mafile sio kabisa

Mwenyew niliwah post status picha ambayo nilitakiwa nimtumie mtu, sasa nashangaa mbona hajibu na alikua online mida hiyo, nikasema nicheki labda haijaenda hee nakuta chat haina picha wee nilishtukaa😂
Bahati nzuri haikua picha mbaya
🤣🤣🤣 alikuwa mwekundu yule dada maana ni mweupee,,


Ahahha hatari sana, usiombe kukutana na hizo mambo
 
Back
Top Bottom