Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,790
Nipo mjomba nipo hapaa ila kama vocha please yangu nakuja kuifata kwako vya kugombania mie siwezi!!Usikae mbali shangazi na kitu kizuri kabisa

Usitujazie memes bana mjomba weka vitu halisi banaa!!
Naishi kwenye wave ya nne 🤦🤦Duh...
Acha nikufanyie namna shangaziUsitujazie memes bana mjomba weka vitu halisi banaa!!
Hivi ushanyoa izo sharubu mjomba???
Bado Nasubiria mbivu jirani....Mahondaw.............
Nakuaminia mjomba huwezi niangushaa!!Acha nikufanyie namna shangazi


Usijali jirani...Bado Nasubiria mbivu jirani....
Kwahio nitarajie lini jiraniUsijali jirani...
??Haizoeleki 🤣🤣🤣🤣🏄♂️Ingekua ni 1st time sawa, ila 100th time?
Aah emu relax didi ake🤣
Me niko hoves hapa
View attachment 2294989
Nikitulia tu jirani...Kwahio nitarajie lini jirani??
Basi sauwaa jirani tupo pamoja!! Ngoja niendelee kuvumilia jiraniNikitulia tu jirani...
Poa za ww
Tunaolala solo ni single piaNa wewe upo single???
Uuuuwiiiii...![]()

Selfika mdada 😉🤔🤔Poa za ww