Alayna
JF-Expert Member
- Dec 18, 2021
- 1,010
- 3,554
Sis nimefurahi kukuona tenaHaya leta mastory nkamu
Sis nimefurahi kukuona tenaHaya leta mastory nkamu
That's good to hear!!Anaendelea vzur leo naona hata ananichekea nmepiga nae stry... Watamruhusu hivi karibuni inshallah
SawA babe ngoja nitupieHelloowww mamy!!
Mida ya Nakedd nilikua Nasubiria nkuone ndio nirare!!
Here waiting sweetheart!!🙇🙇SawA babe ngoja nitupie
Niitie mtoto wa shangaz akujecocastic Babylov wherayuuuu??? Unaitwa hukuuu
Eeh mambo ya kupasi alfajiri hapanaUna mchezo kama wangu 🤣 me naweza pasi za week nzima kama mood iko ON..
Wanaweza rudisha wa manane,, ila in case of anything, nishaandaa akilini kigauni flani 😂
Me too lil sis, japo nimeambulia tu sifa za picha yako "mzungu" wetuSis nimefurahi kukuona tena
Kumbe bado upo nkamuHaya leta mastory nkamu
Ni kipengele…Eeh mambo ya kupasi alfajiri hapana
Hahaa good... Af kesho uwe live mapema kutupa burudani siku ianze poa😂
Viclip viwili ushajikuta star sio 😂😂Ni kipengele…
🤣🤣 msinizoee
So natural....Hyo apo loveView attachment 2294626
🤣🤣🤣 jamaniMwanao @Depal amekua mtundu anavaa vikaptula vya kuchanika vimembanaaa alafu kama @T 1990 ELY anampenda hivi.....
SawA babe asante piaSo natural....
African Biuriiiiiiii
Sasa naweza kulala vizuri babe thank youuuuu![]()
Tulia nimpe maelezo ya kutosha mama malezi uwache ukorofi🤣🤣🤣🤣🤣🤣 jamani
Nkamu kwani huwa unamwagilia moyo?😁😁😁Kumbe bado upo nkamu
Haya naanza sasa mama mchungaji
Mambo ni mengi muda ni mchache
Ulipokua rikizo kuna mambo yametokea
Kwanza mwanai Saint Anne amemleta junia ni kazuri ila kamemsumbua kidogo kwenye malezi hata huku jukwaani anaingia kwa kubip........
Binti yako cocastic alikua na mitihani amemaliza salama na sasa yupo rikizo anakula maisha na lectuler wake Jack Palladino mambo ni bam bam
Mwanao Depal amekua mtundu anavaa vikaptula vya kuchanika vimembanaaa alafu kama T 1990 ELY anampenda hivi.....
Mama mchungaji mimi pia ninepata mchumba anaitwa Alayna nasubiri barakazako tu mama mchungaji ili nipeleke posa....
Mama malezi mambo ni mengi mengi ngoja ninywe maji kwanza nitaendelea .....
Nkamu sijawahi wala simwagilii moyoNkamu kwani huwa unamwagilia moyo?😁😁😁
Aisee umeopoa bonge la pisi; full utu na Utulivu. Yaani you have all my blessings na ukweni nakusindikiza.
Depal ni binti Zumaridi😁😁😁
Mama junia Saint Anne nimetoka kwake jana.
Mwanafunzi cocastic nishampa salamu zake.
Kumbe bado upo nkamu
Haya naanza sasa mama mchungaji
Mambo ni mengi muda ni mchache
Ulipokua rikizo kuna mambo yametokea
Kwanza mwanai Saint Anne amemleta junia ni kazuri ila kamemsumbua kidogo kwenye malezi hata huku jukwaani anaingia kwa kubip........
Binti yako cocastic alikua na mitihani amemaliza salama na sasa yupo rikizo anakula maisha na lectuler wake Jack Palladino mambo ni bam bam
Mwanao Depal amekua mtundu anavaa vikaptula vya kuchanika vimembanaaa alafu kama T 1990 ELY anampenda hivi.....
Mama mchungaji mimi pia ninepata mchumba anaitwa Alayna nasubiri barakazako tu mama mchungaji ili nipeleke posa....
Mama malezi mambo ni mengi mengi ngoja ninywe maji kwanza nitaendelea .....

kwa umbea shikamooookwakuwa nilikumiss nitairudiaMe too lil sis, japo nimeambulia tu sifa za picha yako "mzungu" wetu
Biurifooo😍kwakuwa nilikumiss nitairudia