Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mwenzio niko kwenye jukwaa la soka, wee si hupendi mambo ya kabumbu, mie shabiki kindaki ndaki, sasa napiga watu spana huko
Utopolooo nawavuruga kweli kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uwe unanitag nije kucheka mie! Mie sijui hata napenda nini walai🤣🤣🤣😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]! Sijawahi hata kuishika kwanza nimeificha Junia asiione yupo kwenye stegi ya kuiga kila akionacho sitaki murder kesi mimi!!
Yaan fanya asiione kabisaaaa, wee hatareew hiyoooo.
 
Back
Top Bottom