Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,486
Duh hadi sie wa k vant nao ni walevi 😤Mademu wengi wa Jf ni walevi tupu... kuna jamaa mmoja nilikutana nae was Jf yule jamaa alipeleka mahali anapiga vyupa balaa kulewa halewi, nikalipa bili kimya kimya nikasepa.. sas naanza kuingia wasiwasi na mademu wa Jf



hizo ngiri ni ngiri kweli au unamaanisha wale ngiri wa nyumbani??
akikuja na swali nyingine inabidi aache ngiri mbili nimjibie
Unajua la tatu litafuata lipi, nani kawafundisha? (just playin u around hahah)Daah mkuu nimekuuliza swali gani jingine zaidi ya hilo ambalo nalo haujalijibu??
Toto la kitanga,katika watu wasio ringa wewe upo katika list yangu.
unaona sasa kumbe bora hata mimi nililipenda kidogo,, wewe ulibebwa na jina la kambi tu lakini ulikuwa kavivu wewe..






Bora wewe k vantDuh hadi sie wa k vant nao ni walevi![]()
hizo ngiri ni ngiri kweli au unamaanisha wale ngiri wa nyumbani??
Maji yale dada, walevi wanakunywga zile za mapovu 😂😂😂😂kwa kuwa k vant ni maji??



hamna nijibu hilo la mwisho ndiyo lugha gani halafu sikuulizi tena,, nikikuuliza tena nidai ngiri
Hahaha, haya hapa...
1.ushagoo ni wapi?
2. ndio lugha gani?Unajua la tatu litafuata lipi, nani kawafundisha? (just playin u around hahah)
Ndiooo k can't 😂😂😂Bora wewe k can't.
Mimi wa fanta orange jamani



sawa lakini ulikuwa kavivu,, leo ndiyo nimejua..
Lakini si nilienda
Wewe upo top ten.Mimi ni wa ngapi kwa hiyo list yako??
Ndiooo k can't
Fanta za wagonjwa wa malaria








.
What an honourNo worries big sis.. I now, record it on my "to do list"



shaabash nipe tano,, watuwache na kei vanti zetu sie siyo walevi..
Maji yale dada, walevi wanakunywga zile za mapovu![]()