Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
mzee baba unazunguka kama dereva wa gari ya magazeti...
mzee baba unazunguka kama dereva wa gari ya magazeti...
ni kijijini
Fanya kuzitafuta.Dah halafu kwa bahati mbaya nilishazipoteza
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni wapi huko? Moshi? Hivi unafikiri kwako unafikiri kuna mtu anaweza asije?. Ni wapi mkuu? Nije wiki ijayo
Sijapoa mkuu
I used to secretly admire ha
Sikusoma hata.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hivi we unadhani niko serious nataka kuenda jeshini?? Ule uzi niliouanzisha kuhusu jeshini majibu ya wadau yalinikatisha tamaa!!
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Guu jamani guu hilo[emoji126]View attachment 1255448
Mshukuru Mungu kwa hiyo uloingiza mpaka sasa!!Droo yangu Leo haina pesa View attachment 1255442
Hahahaaa kweli
Mbona sijakuona mkuuShukrani,, niko njiani..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]mkuu mbona kama unanifurugha mie??
[emoji126]View attachment 1255448
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji8]ni kijijini
Usitubanie hizo connection boss.Hahahaaa afu Mimi nawapanga mjue.
Mimi Sio askari kabisa; raia mkakamavu mwenzenu.
Mwaka wa ngapi sasa
Fanya kuzitafuta.
Mtawasimulia nini baadae wajukuu