DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,912
Kuna baharia alishamuwahi so I never wanted to spoil the funDuuh na haukumuambia??
Kuna baharia alishamuwahi so I never wanted to spoil the funDuuh na haukumuambia??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani mejikuta nacheka tuuu aki!! Huko ni KILEMA mkuu, niko kwenye maalum moja! Ila sio kwetu!
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Mademu wengi wa Jf ni walevi tupu... kuna jamaa mmoja nilikutana nae was Jf yule jamaa alipeleka mahali anapiga vyupa balaa kulewa halewi, nikalipa bili kimya kimya nikasepa.. sas naanza kuingia wasiwasi na mademu wa Jf
Msomi nikuone na wewe basiii[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Sasa ndiyo kilugha gani??
Twin huyo na guu la bia[emoji7][emoji126]View attachment 1255448
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji126]View attachment 1255448
Sikusoma hata.
Maana Mimi na jeshi Ni paka na panya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kilemakyaro au???
Akii maswali zake ni mob mzae!una maswali mob
Mshukuru Mungu kwa hiyo uloingiza mpaka sasa!!
Kuna mwingine hajui kama leo anakula!
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji8]
Mbona sijakuona mkuu
Guu guu mtoto, pendeza.
akikuja na swali nyingine inabidi aache ngiri mbili nimjibieAkii maswali zake ni mob mzae!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nawe mfuruge kabisaa
Kuna baharia alishamuwahi so I never wanted to spoil the fun
una maswali mob
Toto la kitanga,katika watu wasio ringa wewe upo katika list yangu.