Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Hahaha ila mock huwa zinazingua kweli, matokeo huja kitofauti .Nilijaribu Mara moja kwenye mock nilitoboa na miguu kwenye maji matokeo yaliyotoka sikurudia tena huo ujinga bora ningelala tu
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Mimi nilikuwa sijichoshi yaani siku ya pepa ndo nalala kawaida na sishtuki usiku

.




