Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,790
Majarubani,?? wee nimemiss kuvuna mpungaa.
Ndio aunt nmemwaga kuku kweny mchele mwingiSasa aunt umetoa Siri Tena![]()





Mpunga uko vizuri, afu hapa madimbani.
Shangaziii nakuja na chai yangu.
Shangaziiiii nakuja unifundisheeee, asije ankoli wako kuniacha kisa sijui kupikaaa.



akati wee upooYaani nayapenda haya
Hebu tumuone wa pembeni.Chinese foodView attachment 2293307
Ushafika ukumbini?
Hongeraaa dea, kwa kuchaaa.



, umebarikiwa.Sawa nasubir ShemNtakutumia kesho ya mia tatu nkitoka hospital
Nitapita tu Ila sijaingia mida ya saa 5 sshv jauUshafika ukumbini?
Selfika wapo warembooooo.




Mnaelea baharini??
Sawa nkikupa vocha we utanipa nn?!
I receiveSiyo kwa kupendeza huko pedeshee mapesa mamaaa mwenye migahawa yake hapa town
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Tayar aunt ni kula tu nimekupikia na visheti ukumbuke wakat unasoma primary![]()




nimevila visheti, vinanoga sukari mnooo.