Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Machenza yana virutubisho ambayo yanaweza kutoa faida nyingi kwa afya yako. Zimejaa antioxidants, ambavyo vinaweza kusaidia kinga na kuboresha afya ya ubongo, ngozi na moyo.
Pia ina vitamin C ya kutosha .



