Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,796
Ohh pole sana aisee [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Nina mgonjwa
Ooh haya sawa vzuri
WajedaMhhhh hapo kwa kweli acha nikimbie tu wahuni wanasema nkafie mbele
Asante tajili mwenyeweOhh pole sana aisee [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Siyo kweli jina ID yako inasadifu yaliyomo yamoKitandani mim ni 0
[emoji1787][emoji1787]Wajeda
Mnajishusha sana kwa raia
Safi sana mlinda amani
[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]Asante tajili mwenyewe
Ulikuwa msongo eehJaman sasa tunafanyaje hapo
Kuweka miguu kwenye maji umenikumbusha boarding [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Mhhh huenda ikawa hivo kila mtu na mtazamo wake
Lisemwalo lipoMhhh huenda ikawa hivo kila mtu na mtazamo wake
Wats wrong?!
Haya SawA basi lipo lkn inategemea
Yeah Mbeya~Mbarali au wanasema bonde la UsanguUbaruku ni Mbeyaa?
Nilijaribu Mara moja kwenye mock nilitoboa na miguu kwenye maji matokeo yaliyotoka sikurudia tena huo ujinga bora ningelala tuUlikuwa msongo eeh
Kama nilifanya hiyo mara chache kweli ...
Usiwaze dakika ..mbona itakukuta hapa
Tutest mitamboHaya SawA basi lipo lkn inategemea
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu huonekani kama unajua mambo ya kilimo hasa ushubwada kama MpungaMadimbeni yaan, afu hapo mmefanya kuchabanga. Afu mkapandikiza.
Haya asante darling
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nitaota LeoHaya asante darling