Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,261
- 49,200
Sasa aunt umetoa Siri Tena😄Alisema niwe namuita kaka huku jf nje ya jf nmuite darling
Sasa aunt umetoa Siri Tena😄Alisema niwe namuita kaka huku jf nje ya jf nmuite darling
Ulipo wew mjomba hakuna kinachoharibika🤣🤣🤣Lina maana kubwa sana
Ili tunda
Yaani kama hapo
Taswira yote ipo wazi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mchspoz watabaki kuwa juu mawinguni.[emoji1751][emoji1751][emoji1751][emoji1751][emoji1751]View attachment 2293078
Si niandikie kushoto.Heeeee ili iweje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]khaaaaahBaby follow my commanding like zombie
Go down on me
With your coca body
Follow my commanding like zombie
Go down on me
With your coca body
Cause this your miliki for front na for me
HoId am for me
And no go do me koni
And if your miliki na fight I submit olo
Je’n la tan ni o baby sumo yo di di di
Usiogope bhana.Sana,
Yameshaivaa??Mje tupike maandazi
Ooooh hapo sawaaa,.Clemson iko US Japan achana nako hamna jipya
Tayar aunt ni kula tu nimekupikia na visheti ukumbuke wakat unasoma primary😂Yameshaivaa??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shangazi naomba nikusaidie kuroga, nipo vizuri upande huo.Aisee kabisa kunamtoto wa mtu nataka nimroge shenz kabisa[emoji17]
Sasa kwann mliachana??Hapana kwakweli, nilie pambana nae alishaolewa, Nina muheshimu sana Hadi Leo kwake Huwa sinyanyui kichwa huyo ndio dear ex wangu wa kufa na kuzikana.. ila tofauti na huyo hakuna moto wa mtu nitae muogopa kumfukuza akileta picha picha [emoji16][emoji16][emoji16] maana natafuta mwenyewe taabu zote zangu jua langu matusi yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yatakushindaaa shougaaa angu.Mie chawa wa mr vochaaaa!! Siogopi mutuuuuuu[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji1787][emoji1787][emoji8]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kubali tu huo ushemeji
Unavyogombania nao vocha
Ulitegemea kung'oa humu
Tena umeheshimishwa[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shangazi mie sitakiiii, nacheka km mwehu.Nishasema hakuna x hapo alafu unabisha mm x zangu Yan ndo imeisha hiyo sitaki mazoea kwanza Sina x Nina viumbe tu vilivokuja kunitia majaribu[emoji23][emoji23]
Ntakutumia kesho ya mia tatu nkitoka hospital