cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,371
- 188,081
Cuzoooooooh!!!Habal zenu wandugu
View attachment 2293533
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo umemaliza mafunzo juzi??
Cuzoooooooh!!!Habal zenu wandugu
View attachment 2293533
Sio dokta mieSawa dokta nazidi kujifunza hapa ubarikiwe sana na miwa inafaida gani
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Tena nilitaka nimuite na mie hapa.
Amen
Ila kweli miwa hutoa harufu ya kinywa, huimarisha meno, na kusafisha fizi.Sio dokta mie
Ila miwa ina faida sana ndo nyie me mnapenda
Hutibu Uti
Kuondoa kinywa mbaya na afya ya meno
Juisi ya miwa ina uwezo mkubwa wa kuipatia miili yetu nguvu kwa haraka na kukata kiu,
Mizuri sanaIla kweli miwa hutoa harufu ya kinywa, huimarisha meno, na kusafisha fizi.
Jinga wewe[emoji1787]Hata mimi nimelinganisha[emoji23]
Ee,,shangaz alikuwa amekuficha wap mbona nilikuwa skupat humu ndan nilikumiss kwel anCuzoooooooh!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo umemaliza mafunzo juzi??
Muite basi jaman mpka mbu wananing'ata utafikir mlinzi wa zamuTena nilitaka nimuite na mie hapa.
Asante dokta ubarikiwe sana nitaanza kutafuna miwa sasa rasmiSio dokta mie
Ila miwa ina faida sana ndo nyie me mnapenda
Hutibu Uti
Kuondoa kinywa mbaya na afya ya meno
Juisi ya miwa ina uwezo mkubwa wa kuipatia miili yetu nguvu kwa haraka na kukata kiu,
Morogoro kumebarikiwa.Mizuri sana
Nimeila hiyo sana .. ukikaa Moro vijijini lazima uile kwa wingi ... Siku haipiti bila kuila .
👍👍
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee cuzooooo eti nn? Miw nipoooo sanaaa.Ee,,shangaz alikuwa amekuficha wap mbona nilikuwa skupat humu ndan nilikumiss kwel an
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muite basi jaman mpka mbu wananing'ata utafikir mlinzi wa zamu
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Haha kalale tu nduguMuite basi jaman mpka mbu wananing'ata utafikir mlinzi wa zamu
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Na juice yake piaAsante dokta ubarikiwe sana nitaanza kutafuna miwa sasa rasmi
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Naenda kulala tu usiku mwema boss dokta [emoji856][emoji856]Haha kalale tu ndugu
Afu uyo boyfriend ako ambaye ata shangaz hamfaham mwambie nmetoka mafunzo tayal ajiandae kubeba aridh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee cuzooooo eti nn? Miw nipoooo sanaaa.
Morogoro kumebarikiwa.
Kilombero miwa.
Ifakara samaki na ndizi.
Ulanga maharage.
Nimepamiss mahenge. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]