DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,912
Inatokea nchi gani mkuu ?Ningetaka kujipa ujiko ningesema kweli ni abroad ila ni vile tu haina maana,, Rovos huwa inakuja bongo kila mwaka mkuu na siku hiyo ilikuwa kama zali tu tumeingia kutoka mbeya tunaikuta pale tazara dar imepark ndiyo inajiandaa kuondoka huwa haikai sana hapa na ni bahati kuiona maana inakujaga bongo mara moja moja ndiyo maana nikaona nichukue tupicha twa ukumbusho maana moja ya ndoto zangu ni kuja kuipanda siku moja..
Cc Relief Mirzska
Siishii hapo mkuuWee ishia hapo hapo,, naona unanitafuta..
Tatizo uwezo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Uwe unapanda mwewe...
Hawachi, Zurri na ndugu zangu wengine katika imani.
Maulid inakaribia..tusisahauliane jamani kualikana.
Allah atupe wepesi tuifikie In sha'Allah.[emoji120]View attachment 1255319View attachment 1255320
Hatari sanaHawachi, Zurri na ndugu zangu wengine katika imani.
Maulid inakaribia..tusisahauliane jamani kualikana.
Allah atupe wepesi tuifikie In sha'Allah.[emoji120]View attachment 1255319View attachment 1255320
Yeleuwiiii!! Hachaguagi huyu, anawabeba wote.Mi namwachia achague ye mwenyewe....
Unaogopa kuharibu kazi mkuu ?Ah kumbe unaenda siasani,, ungekuwa unaenda kwingine ningekufuata ila kama ni huko safari njema tu mama..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]si ndio hapo sasa hebu aache kumshushia heshima kaka wa watu mutu mukubwa mutu ya watu al watan
Ajali Haina sehemu maalum.
Kuna watu walitoka dar kwenda tunduma wakaja kudondoka mbozi huko.
Kuna siku nimetoka Dom Mtoto wa watu nimehaso njiani na kuumwa kwangu,halafu tunafika nane nane pale darajani dereva anataka atumwage[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]nakuonaa Bi Khadija Bint Bargash
Kumbe wa undali ndani ndani huko karibia na malawi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hatari sana
Kama umezaliwa saudi
The most common lieHakuna kabisaa jamani
Still singo and happy [emoji8]
dah! Nakumbuka sana MimiHunaga utani kabisaa...
Hivi mchele wangu jamaani, ujue nakudaii
Kama vipi kuwa baharia...
Mwenyewe [emoji2296][emoji2296]
hahahaaa!Kumbe wa undali ndani ndani huko karibia na malawi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwenye hiyo ajali ya vijana wa jeshi nilimpoteza college mate wangu mmoja[emoji24]Alifariki mmoja,, ila nimegundua gari ikipinduka juu chini chini juu ina uwezekano isiue watu wengi kuliko ikipinduka kiupandeupande..
Kuna siku nilienda kutembea milimani kule barabara ya chunya wakati narudi nakuta ajali ya basi ilikuwa imebeba wanajeshi wadogo wadogo ndiyo wametoka kupiga course tabora wanaenda mbeya kupewa ajira na hilo basi walikodiwa na jeshi ila ndiyo lilikuwa bovu hasa kwenye usukani
Ikafika sehemu likapinduka kiupandeupande,, kwa mara ya kwanza nilishuhudia live utumbo wa mtu unazolewa zilienda ambulance mbili na gari za jeshi ila maiti na majeruhi bado hawakuisha walikuwa wengi halafu ni vijana wadogo tu kwenye miaka 20 hivi
Walioumia sana na kufariki ni wale waliokuwa upande ambao lile basi lililalia baadaye ndiyo wakaja kulinyanyua,, ila ile barabara ya kuelekea chunya ni mbaya sana aise zile kona kona daah kama nyoka wenyewe huwa wanaziita kona za mkoa maana mkoa mzima hamna kona mbaya kama zile..
Slip of the hand happened mkweeee[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Mie ni mkwe jamani sio mke[emoji134][emoji134]
Walaikum salaam warahmatu'allah wabarakat
Naona dogo umekula zoezi[emoji1787]