Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,511
- 235,218
Wewe una bangi kichwani sio Bure[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haki vile natamanigi sana hiyo scene inikute siku moja ila tu isisababishe ajali,, tena nikiwa ndani ya dude moja la uarabuni kati ya emirates au etihad siyo hutu tupanzi twetu..[emoji2296][emoji2296]
Ukazunguke na li Etihad [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]..kwanza ujasiri wa kufurahi unautoa wapi chombo kimeshindwa kutua[emoji23][emoji23][emoji23].
Nina wasiwasi ulitamani juzi Kati ungekuwa kwenye air tz iliyokuwa ikienda mwanza iliyopata hitilafu na kurudi kutua dar