Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Aah basi sawa didi akee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

My didi emu Njoo uchukue nickname mpya Lenie


Vimbeni tu [emoji1787][emoji119]
Mm mpenda kukaa nyuma na kuendeshwa ndio maana sielewagi asee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee tena, mda ote uko kushoto kwa usukani, una zoom taifa la tozo. Pande ya jamhuri ya Chugastan.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee tena, mda ote uko kushoto kwa usukani, una zoom taifa la tozo. Pande ya jamhuri ya Chugastan.
Sijui tunaenda wapi sahivi
A892486B-D411-40B0-801D-8B5C71B7D589.jpeg
 
Na huyo alivyo mrefu mweusi
[emoji28][emoji12]
Plus ile slang yake
Atapata wateja [emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee unanivunja mbavu, watu wa chuga mie wananipa Hype sanaaa. Ile lafudhi, afu wana maneno ya ku banger, daaaah.

Hebu aleteew nimkuwadieeee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom