Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee unanivunja mbavu, watu wa chuga mie wananipa Hype sanaaa. Ile lafudhi, afu wana maneno ya ku banger, daaaah.

Hebu aleteew nimkuwadieeee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chaliifrancisco ushindwe we mwenyewe 😅

Huyo chalii alikataa kunifundisha misamiati yao, ningekuwa nishaiva sahivi
 
Ndio aashum yuko mahakamani, akisema tu uongo jela miaka 100[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] gari mchezoo, Mzungu kwenye ndinga hapo alimaliza kila kitu. Na ulimbo akaweka hapo, hakna anaetoka.
 
Chaliifrancisco ushindwe we mwenyewe [emoji28]

Huyo chalii alikataa kunifundisha misamiati yao, ningekuwa nishaiva sahivi
Kuna huyo nilimpataga, khaaaah niliona mwisho utakua mbayaa, yaan alikua ananitoa ktk asili ya kwetu kabisaa, nkawa naelekea chugani, sasa na hii sauti ndo nikiweka lafudhi na neno la bangerz,

Full vichekesho, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Sema tyuuh wanapenda kweli, afu wako real, hadi nlkua najistukia mwenyewe sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzungu mwingi afu Bongo.
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
gari mchezoo, Mzungu kwenye ndinga hapo alimaliza kila kitu. Na ulimbo akaweka hapo, hakna anaetoka.
Nyieee 🤣🤣🤣

Kwahiyo akija na Altezza au Imprezza dogo huchomoi??
 
Kuna huyo nilimpataga, khaaaah niliona mwisho utakua mbayaa, yaan alikua ananitoa ktk asili ya kwetu kabisaa, nkawa naelekea chugani, sasa na hii sauti ndo nikiweka lafudhi na neno la bangerz,

Full vichekesho, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Sema tyuuh wanapenda kweli, afu wako real, hadi nlkua najistukia mwenyewe sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzungu mwingi afu Bongo.
Acha kuwaogopesha wenzako basi. Sema hapo kwenye kuwa real ni real. Umebonga kitu ambacho.
 
Kuna huyo nilimpataga, khaaaah niliona mwisho utakua mbayaa, yaan alikua ananitoa ktk asili ya kwetu kabisaa, nkawa naelekea chugani, sasa na hii sauti ndo nikiweka lafudhi na neno la bangerz,

Full vichekesho, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Sema tyuuh wanapenda kweli, afu wako real, hadi nlkua najistukia mwenyewe sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzungu mwingi afu Bongo.
Ndo sa ushanpata pacha wake.
 
Back
Top Bottom