Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,881
🤣🤣🤣The last time nimekuona ulikuwa nginjanginja frangenge labda kama saivi hauna matunzo kitambi kimepungua.
🤣🤣🤣The last time nimekuona ulikuwa nginjanginja frangenge labda kama saivi hauna matunzo kitambi kimepungua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] didii ni neno la Mombasa huko, lina maanisha shost, rafiki, km hivyooo.Didi maana yake nn? Juzi nimeitwa ‘aunt didi, na wewe tena [emoji28]
Sasa unapendaje la mwenzio [emoji1787] kuna namna najiulizaga nakosa hata majibu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aah basi ngoja nikatafute mkimbiaje mwenzangu maan ww nishaona toka mwanzo hatutawezana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Weka na yangu basi mashosti zako wanigombanieIla Melo mzuriii, kuna picha yake aliweka tsup dp, wee nkaiweka kwangu Tsup, kuna shogaa angu akaniulizaa "shoga huyu kijana umemuibua wapi? " nyie nilicheka mbavu cnaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sauti sasa mweeeeeh, hebu niwe mpolee nisije pigwa ban.
+[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila watu wachokozi mnoooo. View attachment 2291417
Kuna uzi jana kapostiwa humu… sijapata tena notifications zake, sijui umefutwaMmh mzuri
Ila basi Tena....
Ebu nkuone ulivo saivi
Aah basi sawa didi akee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] didii ni neno la Mombasa huko, lina maanisha shost, rafiki, km hivyooo.
Didii akeee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mjini utapaweza basis, full tafrani.
Gari tamuuuuu. Hata km sio lako. Unavimbia tyuuh.
Naogopa nisije pigwa ban, ila sifa zake apewe amekamilika bhana.[emoji119][emoji119][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mod wa zamu atamfikishia sifa zake
Naomba urudie kusema hayo maneno tena ukiwa umeshika BibliaSasa unapendaje la mwenzio 🤣 kuna namna najiulizaga nakosa hata majibu
Nimechundaaa 🤣Ebu nkuone ulivo saivi
Hebu leta hiyo yako nikuwekee chaliii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weka na yangu basi mashosti zako wanigombanie
🤣🤣🤣 tofautisha kati ya 🚘 na 💵Naomba urudie kusema hayo maneno tena ukiwa umeshika biblia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah, dhambi hizi.
Na huyo alivyo mrefu mweusiHebu leta hiyo yako nikuwekee chaliii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hamna kitu. Ngoja leo na mimi nitupieNimechundaaa 🤣
Hiyo hiyo hiyo inakuja mda si mwingiHebu leta hiyo yako nikuwekee chaliii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu cna, khaaah.Nimechundaaa [emoji1787]