Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,097
- 41,716
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]Tunawachoma[emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]Tunawachoma[emoji28]
Na nilivyo bakhiri hata kununua siwezagi, nshazoea kwetu bwereree tena bureee. Afu huku ninunue woiiiiiih.Eti jmn mhindi 800,khaaa
Mi nanunua kipande Cha mia 3, na 2 imeisha hiyoooo[emoji1787]
Wanakuwaga wakuda sana. Mafuta ya kijiko.Aaah we hivi unajua wakaka wanaoendesha Subaru Forester lkn[emoji3526][emoji3526]
Wewe tukunyema tulia 😂Tunawachoma😅
Mbezi Kuna vipande vya mia 2,3 ...mzima 800Hapa nilipo 800 mwenyeji. Kipande 400.
Kupendeza mhimu bwanaKwann umependeza hvyo unajua kbsa mm Nina ugonjwa na wanawake wanaopendeza
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Mhhh mwanamke anayekimbia hapana [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]Ahhhh we pumzi me ninayo bn kila siku asubui nafanya mazoez ya kukimbia kwa hyo jipange
Didi maana yake nn? Juzi nimeitwa ‘aunt didi, na wewe tena 😅[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tatizo haikwepeki didiii, wengi wao wanapenda magari, ila sio wote.
Uchawi wa Mzunguuu noumaaah.
Depal ndo nani tena huyuHata Melo ni mrefu mwembamba mweusi
Nyieeeee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Cc Darlin
Mbona sijaona [emoji34][emoji34][emoji34]Nishaku pm
😅😅😅 kuanzia lini nikawa obesityWewe tukunyema tulia 😂
Ila Melo mzuriii, kuna picha yake aliweka tsup dp, wee nkaiweka kwangu Tsup, kuna shogaa angu akaniulizaa "shoga huyu kijana umemuibua wapi? " nyie nilicheka mbavu cnaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata Melo ni mrefu mwembamba mweusi
Nyieeeee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Cc Darlin
[emoji1787][emoji1787][emoji2960]Eeeh ni hatari sana achana na hivi vimwanaume vifupi
Aah basi ngoja nikatafute mkimbiaje mwenzangu maan ww nishaona toka mwanzo hatutawezana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mhhh mwanamke anayekimbia hapana [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
🙌🙌🤣🤣🤣Ila Melo mzuriii, kuna picha yake aliweka tsup dp, wee nkaiweka kwangu Tsup, kuna shogaa angu akaniulizaa "shoga huyu kijana umemuibua wapi? " nyie nilicheka mbavu cnaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sauti sasa mweeeeeh, hebu niwe mpolee nisije pigwa ban.
The last time nimekuona ulikuwa nginjanginja frangenge labda kama saivi hauna matunzo kitambi kimepungua.😅😅😅 kuanzia lini nikawa obesity
Kumbeeee melo huyuIla Melo mzuriii, kuna picha yake aliweka tsup dp, wee nkaiweka kwangu Tsup, kuna shogaa angu akaniulizaa "shoga huyu kijana umemuibua wapi? " nyie nilicheka mbavu cnaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sauti sasa mweeeeeh, hebu niwe mpolee nisije pigwa ban.
Hakuna kitu ka hicho ban na ww..... We mwenyewe unawaaminiaWanakuwaga wakuda sana. Mafuta ya kijiko.
Mmh mzuriMaxence Melo
Jf founder
[emoji1787][emoji85][emoji85]