Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,100
- 41,718
Nimefnya nn ss
Nimefnya nn ss
Hapa nilipo 800 mwenyeji. Kipande 400.Usipaogope bana!!! Mabichi 500 tu.
Utakuja Ungalimited???😉Lizzy I miss you. Kesho nipo Arusha. Ntakucheki
Asante jiraniNa kwako jirani..
Kwann umependeza hvyo unajua kbsa mm Nina ugonjwa na wanawake wanaopendezaNimefnya nn ss
Aaah we hivi unajua wakaka wanaoendesha Subaru Forester lkn[emoji3526][emoji3526]Mimi nnae chuma cha mjerumani VW Touareg mamalai
Hahaaa@The Garang anamiliki Subaru, mrefu mwembamba, mweusi uwiiiiii
Unatakiwa ununue mabichi ndo bei rahisi. Yaliyochomwa/chemshwa lazima wafidie na mkaa jamani 🤓Hapa nilipo 800 mwenyeji. Kipande 400.
Refer her comment then utapata tofauti ya kupenda lako unalomiliki na tofauti nyingine..Kwan uongo?? Nan hataki Gari? Hata wao wanapenda magari ndo maana wananunua.
HahaaaPortable mbarikiwe sana [emoji119][emoji119][emoji119]
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Imeisha hiyooooNangoja ugeuke
Nishaku pm
Ahhhh we pumzi me ninayo bn kila siku asubui nafanya mazoez ya kukimbia kwa hyo jipangeVumbi la ndugai style hili weka Mbali na watoto pumzi unayo
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tatizo haikwepeki didiii, wengi wao wanapenda magari, ila sio wote.Refer her comment then utapata tofauti ya kupenda lako unalomiliki na tofauti nyingine..
Nishaichangamkia bablai
Eeeh ni hatari sana achana na hivi vimwanaume vifupiHahaaa
Mama weee
Mweusi,mrefu.....
Eti jmn mhindi 800,khaaaTatizo bei, wee muhindi 800 khaaaah. Dar jaman hapanaaa.
Sipaweziii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan bas ni hatareeee.Unatakiwa ununue mabichi ndo bei rahisi. Yaliyochomwa/chemshwa lazima wafidie na mkaa jamani [emoji851]
Yes hapo daraja mbili kuna maza angu mdashi anavunga izo fasi lazima nije hapo.Utakuja Ungalimited???😉