Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,150
- 28,864
Natafuta mke..naruhusiwa kuja pm au niende jukwaa la kutafuta wachumba nikaandike Uzi kule???Niliambiwa hyo sehem hua kuna kenge mkubwa sana..... Hiyo mida ndo nilikua nmeenda kumuona huyo kenge.
Kenge mwenyewe asionekane.... Ila mazingira yalikua mazuri sana mawe mawe, ngedere na wale wanaita pimbi wanasema hua wanaliwa, me sikujaribu kabisa kula
Alafu pia upande mwingine kuna makaburi ya watemi yalikua mawili makubwa sana wanasema ni ya muda mrefu sana View attachment 2291109








