Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
Ni jambo jema rafikiNmeamka njema kabisa
Ni jambo jema rafikiNmeamka njema kabisa
Vikokoto vinaitwaHapana, ni hivyo vigumu kama vijiwe...
Nawasingizia wapi? Kule muhukuru wapo kampuni 3, wanavyomaliza wadada na wamama hadi huruma, ndoa za watu zinaisha kila siku.Mnawasingizia tu
Wapi wanakesha niende nikanywe hata chupa 5 tu
Usingizi hamna basi tafran tu
Asante kwa details dear
Aisee....safiii,
Uwe na Amani nimeibariki mibaraka tele kipenzi madame ameridhiaa kabisaaa!!
Tenaa umpe mashamsham yoteeee usimnyimeeee kila mahalaa jikoni sebleni kwenye kochi ukutani sakafuni bafuni kotee weee mpeee mpe tena na tenaaa.
Usimpe stress kabisa mr Vocha wetu selfika teinnnaaaaaaa!!!!

woyooooh nmeharalishwa naomba nifanye sherehe mapema ya kutambulishwa maan huyu uncle vocha ni kiruka njia... Naweza kushtuka yupo tena na bibi mpya.... Nkitafakali naona balaa sitaliwezaDecember 😇Aisee....safiii,
Lini unaenda jirani nije kukodoa macho.
Hiyo ni vizuri kabisaNapumua
Nashukuru kwa alie juu
Sawasawa jirani. Itakuwa vizuri.December 😇
Twende jirani
Nitakuwa na shost angu Lenie
Kuna dawa nakimbizana nazo hpa nazikomesha...nikila kidogo kimekwesha hahah!Good morning mama Junia
Ila tulishakubaliana chapati mwisho 2 inakuaje wewe unataka kula 3??
Namuita aunt Lizzy arudie somo naona hujaelewa wewe hivi diet utaiweza kweli??
Just do what makes him feel like OMG!!! Hataruka ruka kabisa!! Huko kwingine ataenda ila moyo wake woteee utakua hapo kwakooo!!woyooooh nmeharalishwa naomba nifanye sherehe mapema ya kutambulishwa maan huyu uncle vocha ni kiruka njia... Naweza kushtuka yupo tena na bibi mpya.... Nkitafakali naona balaa sitaliweza
Dearest una pouzzzz hatareeee.Niliambiwa hyo sehem hua kuna kenge mkubwa sana..... Hiyo mida ndo nilikua nmeenda kumuona huyo kenge.
Kenge mwenyewe asionekane.... Ila mazingira yalikua mazuri sana mawe mawe, ngedere na wale wanaita pimbi wanasema hua wanaliwa, me sikujaribu kabisa kula
Alafu pia upande mwingine kuna makaburi ya watemi yalikua mawili makubwa sana wanasema ni ya muda mrefu sana View attachment 2291109






Wameupiga wa janaMdogo wangu Saint Anne naomba uniandalie mashairi yenye afya mimi ni husbae leo
Mafuta ya kawaidaImechambuka
Ila seems like mafuta ni….
Inaweza kinaisha ..
Shkamoo jirani.Jirani hujambo. haya mambo umefanya wewe? Safi sana.