Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,881
Umepata jibu gani?Hapo kwenye rangi mbali mbali nishapata jibu😅😅
Umepata jibu gani?Hapo kwenye rangi mbali mbali nishapata jibu😅😅
[emoji1787]Sawa mkuu..
Acha drama 🤣 ile picha ina shida gani?Aliweka picha moja la kichokozi
Ana visanga sana
My dear mzungu is mzungu, na ni ngumu sana mbongo kubehave like mzungu for 90 percent.
Mbongo atataka hata ampandie kobe amuendeshe [emoji1787] (nimeona hapo 2nd screenshot..
Pako crowded mie sishangai, si unatujua watz tukisikia kaeneo kapya? Wenyewe ndio tunaita pako na vibe
Mf nina sister anakwambia Magoroto is not a natural forest, hawezi kwenda. Pia anasema pameendwa na watu wengi.. hiyo kwake imepunguza credit ‘ kanitajiq sehemu flani iko Moshi, kasema ni pazuri sana na hapana jam la watu.. sema nimesahau jina
So kila mtu na vile anavyochukulia vitu..
Em niione hiyo pichaAcha drama 🤣 ile picha ina shida gani?
Nimevaa sketi, tena sketi ya marinda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chizi wee.KFC na McDonald naziona Kwa TV tu au nikienda Kwa mwamposa kufata mafuta naionaga KFC mikocheni [emoji28][emoji28]
PoaaaTina Tana
Mambo niaje
Upo[emoji848]
Nitakupeleka Ulaya nikipata helaUmepata jibu gani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani uongo??Eti 15k ya Kobe hahah[emoji28]
Basi itambidi tu aweke bango lake mahali panapotakiwa[emoji4][emoji4]Sitakuangusha [emoji123]Wee huko kukubali vipi tena na tushakubaliana you are Mrs Vocha???
Akwendreee akatafute kwingine hapo pako Fully occupied usiniangushe mamy!![emoji3059]
Ina mitego gani hyo, mbona unaingia kabisa kwa mzee wa upakoEti hii
[emoji1]cocaaa10 ya kiingilio
15 ya kobe.
Nyingi mnoo, mihogo ya mia 3 kila siku? Haifiki??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jirani....kweli aisee. Aliona kwa mbaaaali mapaj@ni 😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijawahi enda big Sunday live, mie na WCB where n where? AiiiiiiiihNingejua ningekushika bega..maana hapa unakuwa mkaidi sn..Ngoja nimcheki gift (gigy money) nimuulize Yule mdada mweupe mwembamba ni Nani?
Iiiiiiiiigggggweeeeeeeeeeeeeehhhh!!Basi itambidi tu aweke bango lake mahali panapotakiwa[emoji4][emoji4]Sitakuangusha [emoji123]
Unaogelea nao na kucheza nao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani uongo??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanataka waonekane,[emoji28][emoji28][emoji28] kuna kadada kembamba kanakaaga mbele daily, kanaichekeshaga
Kula maisha kula Maisha mamaaaa!!😘👌