Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Uwe na Amani nimeibariki mibaraka tele kipenzi madame ameridhiaa kabisaaa!!
Tenaa umpe mashamsham yoteeee usimnyimeeee kila mahalaa jikoni sebleni kwenye kochi ukutani sakafuni bafuni kotee weee mpeee mpe tena na tenaaa.
Usimpe stress kabisa mr Vocha wetu selfika teinnnaaaaaaa!![emoji8][emoji8][emoji8][emoji108][emoji108][emoji108]!!
Wacha weee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtakuja mrogwee vibayaaa nyie, hamuogopi???
 
Niliambiwa hyo sehem hua kuna kenge mkubwa sana..... Hiyo mida ndo nilikua nmeenda kumuona huyo kenge.
Kenge mwenyewe asionekane.... Ila mazingira yalikua mazuri sana mawe mawe, ngedere na wale wanaita pimbi wanasema hua wanaliwa, me sikujaribu kabisa kula
Alafu pia upande mwingine kuna makaburi ya watemi yalikua mawili makubwa sana wanasema ni ya muda mrefu sana View attachment 2291109
View imetuliaa mnooooo[emoji108][emoji108]
 
Fanya mchakato ukamwage wino kwa guest book
Ipo siku tu yaani kwa sasa nitulie tu mie [emoji3526]

Nimesoma reviews aisee sio poa .. wazungu wanalalamika kuwa papo crowded etc
Screenshot_20220715-110915.jpg
Screenshot_20220715-110814.jpg
 
Just do what makes him feel like OMG!!! Hataruka ruka kabisa!! Huko kwingine ataenda ila moyo wake woteee utakua hapo kwakooo!!
Yeah huyo ni mwanaume nature yao unaijuaaa usimfatilie kabisa you must relllllaaaxxxxxxxx uinjoy maisha babygirl!!!
[emoji849]SawA aunt ushauri wako ntaufuata[emoji4][emoji4][emoji847][emoji847]
 
Back
Top Bottom