myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,136
Duh!! mnawajua kumbe.Unamaanisha Depal ? Deborah paul Laswai?
Duh!! mnawajua kumbe.Unamaanisha Depal ? Deborah paul Laswai?
🤣🤣🤣 ukiona picha imefutwa acha kureply ebooohDeborah Pantaleo Lyimo
Hongera sn ankoNdio mkuu
Kina Nani mkuu??Duh!! mnawajua kumbe.
Ndio[emoji275]Wacha wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uliniona na type ukafuta[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ukiona picha imefutwa acha kureply eboooh
Huyo Deborah. 😂 😂Kina Nani mkuu??
Ya nini tena chief[emoji848]Hongera sn anko
🤣🤣 hata sikuona..Uliniona na type ukafuta
Muone
Ningejua ningekushika bega..maana hapa unakuwa mkaidi sn..Ngoja nimcheki gift (gigy money) nimuulize Yule mdada mweupe mwembamba ni Nani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijawahi kwenda Big Sunday live,
Naendaje site ya hater wangu.???
Kwamba majirani zakoHuyo Deborah. [emoji23] [emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣Huyo Deborah. 😂 😂
Nimemsikia hapa hapa jf mkuu..hata simjuiHuyo Deborah. [emoji23] [emoji23]
Aliweka picha moja la kichokoziNimemsikia hapa hapa jf mkuu..hata simjui
Tuwe siriaz tuwajue. Humuhumu wanaweza kupatikana wachumba wakali 😂 😂Kwamba majirani zako
Ni wa mchongo[emoji1787][emoji848]
Sawa mkuu..Nimemsikia hapa hapa jf mkuu..hata simjui
😅😅😅 kuna kadada kembamba kanakaaga mbele daily, kanaichekeshaga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijawahi kwenda Big Sunday live,
Naendaje site ya hater wangu.???
Big Boy unakosajeTuwe siriaz tuwajue. Humuhumu wanaweza kupatikana wachumba wakali [emoji23] [emoji23]
Pisi kali ziko humuhumu..