Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
Wewe najua mzoefu wa baridi maana ile ya Tukuyu ni kali zaidi ni tahadhali tu nilikupa nkamu, maana hali ya hewa ya Atown ni ya kubadilika badilika na msimu huu ni wa baridi hasa uko porini
Ule ni utege mkuuUle ni utege au pozi
Halafu umeamkaje mchuchu
Nmeamka njema kabisaUle ni utege au pozi
Halafu umeamkaje mchuchu
Aunt nimekesha ujueAunt ulikuwa unasubiri kweli?🤣🤣🤣
Ww dje umeamkaje mkuuUle ni utege au pozi
Halafu umeamkaje mchuchu
Ebu tuone...!😜Nimeamini Nkamu hapa nimejikunyata navua Blanketi muda wa kupiga picha tu
Mjep shikamooAunt nimekesha ujue
Yaani leo una faini kubwa
Sophy mambo loveNaandaa nondo aunt wew andaa notebook kabisa![]()
Marahaba mrembo mwenye utege matataMjep shikamoo
Hiyo love mbona hujaniita mimi umemuita aunt!Sophy mambo love
Haya ngoja nkuite "Mjep uko poa mpenzi"Hiyo love mbona hujaniita mimi umemuita aunt!
Mambo vipi! nasubiria vocha yanguHiyo love mbona hujaniita mimi umemuita aunt!
Simara mambo darlingNimeamini Nkamu hapa nimejikunyata navua Blanketi muda wa kupiga picha tu
Reymage mambo sweetieMambo vipi! nasubiria vocha yangu
Poa madama mzuri mzuriMambo vipi! nasubiria vocha yangu
Shwari mzimaa?!!!dearReymage mambo sweetie
Na mimi swetieReymage mambo sweetie