Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,226
Ngoja niulize tena 🤣Ni nzuri
Adventure ya maana hiyo
Ni Zanzibar na sehemu gani ?
Ngoja niulize tena 🤣Ni nzuri
Adventure ya maana hiyo
Ni Zanzibar na sehemu gani ?
Ooh haya dearNgoja niulize tena![]()
🤣 hapana dearOoh haya dear
Nimeona mtu amepost kwa insta story nikarelate na wewe ..
Sijui vinaitwaje, naviona viko saizi ya tennis jirani, najiilia tu..Vitenesi ni Maandazi tena wee jirani😳😳😳!!
Au wasemea kababu? Egg chop?Sijui vinaitwaje, naviona viko saizi ya tennis jirani, najiilia tu..
Inshallah kitajaa tu hicho kibubu uende zako Vacay hukohapana dear
Huyo mtu niliona ameweka wasap status..
Mie ndio nataka kuchonga kibubu nianze kuwekesha hela za kwenda huko



Hapana, ni hivyo vigumu kama vijiwe...Au wasemea kababu? Egg chop?
Uwe na Amani nimeibariki mibaraka tele kipenzi madame ameridhiaa kabisaaa!!Sijui ntamueleza nini Aunt madame
Makobe yako Nungwi Zanzibar mremboInshallah kitajaa tu hicho kibubu uende zako Vacay huko
Huyo aliyepost IG siwezi muuliza ni top-notch fulani hivi .... Hebu tufanye mpango tujue jina
Sijui nigoogle vipi jamani![]()
Aisee....
Jirani hujambo. haya mambo umefanya wewe? Safi sana.Good morningView attachment 2291133
Asante rafiki nimeonaMakobe yako Nungwi Zanzibar mrembo
Madam usinimwageUwe na Amani nimeibariki mibaraka tele kipenzi madame ameridhiaa kabisaaa!!
Tenaa umpe mashamsham yoteeee usimnyimeeee kila mahalaa jikoni sebleni kwenye kochi ukutani sakafuni bafuni kotee weee mpe tena na tenaaa.
Usimpe stress kabisa mr Vocha wetu selfika teinnnaaaaaaa!!😘😘😘👌👌👌!!
🤣🤣🤣😂😂🤣🤣🤣!! Mbavu zangu mjep pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!! watoto wananishangaa kweli navocheka pekeangu huku😂😂😂😂🤣🤣!!Madam usinimwage
Ngoja nimuite mtaalamu putin aanze upya kumwaga mistari
Madam usinimwageUwe na Amani nimeibariki mibaraka tele kipenzi madame ameridhiaa kabisaaa!!
Tenaa umpe mashamsham yoteeee usimnyimeeee kila mahalaa jikoni sebleni kwenye kochi ukutani sakafuni bafuni kotee weee mpe tena na tenaaa.
Usimpe stress kabisa mr Vocha wetu selfika teinnnaaaaaaa!!😘😘😘👌👌👌!!
Nn jiraniAisee....