Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Niliambiwa hyo sehem hua kuna kenge mkubwa sana..... Hiyo mida ndo nilikua nmeenda kumuona huyo kenge.
Kenge mwenyewe asionekane.... Ila mazingira yalikua mazuri sana mawe mawe, ngedere na wale wanaita pimbi wanasema hua wanaliwa, me sikujaribu kabisa kula
Alafu pia upande mwingine kuna makaburi ya watemi yalikua mawili makubwa sana wanasema ni ya muda mrefu sana View attachment 2291109
Safii sana.
 
Good morning
20220715_095328.jpg
 
Back
Top Bottom