Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hongera dear
Ufanikiwe katika hatua inayofuata
Wooooooow Dear upooooo??
Sijakuona jana na leo, nikajua uko buzzy.
Mic u mnooo, lipser na necker. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]

Yaan mwaka ukuje nimalizeeeeee, nimechokaaa madesaaa.
 
Hivi unajua nowdays simu nyingi especially samsung haziji na kichwa zinakuja na cable tu[emoji4]
Sasa hayo najulia wapi lekchaaa? Samsung enyewe naonaga matangazo KIKUU. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nipo na infinix yangu fakee, siku ya kumiliki samsuuu Cm zote zita stuck hadi yangu nikamilishe umiliki.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Maliza shule kwanza utakuja kununua simu za gharama[emoji4]
 
Wacha weee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akati wengine wako chuo na wanamiliki.

Pia kumaliza chuo sio ticket ya kununua cm ya gharama, mchawi Mapeneeeee.
Au nasema uongo??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wooooooow Dear upooooo??
Sijakuona jana na leo, nikajua uko buzzy.
Mic u mnooo, lipser na necker. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]

Yaan mwaka ukuje nimalizeeeeee, nimechokaaa madesaaa.

Yes , dear
Nilikuwa busy kidogo
Miss you too [emoji7][emoji7]

Eeh utafika tu , masomo yanachosha tu
 
Back
Top Bottom