Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mbinga niliwahi pita tyuuh, nlikua naenda liparamba hadi mipoto poto. nikaja tokezea Mitomoni, wakati wa kurudi nilipita mto Ruvuma nikatokea Muhukuru, nduki Songea.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sass home ukivuka mto kutokea mjini,mto wa kwanza ukipita kile ki mlima kama unaelekea liparamba[emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa si unambie ili Connection nianze kuifanya sahivi, nikimaliza tyuuh shwaaah jobuni.
Una watu wengi sana humu unafahamiana nao tena kwenye uzi huu huu, wana nafasi zao, hawatashindwa kukushika mkono.
Kuwa makini tu utawagundua dakika sifuri
 
[emoji16][emoji16][emoji16]aseme. Au ajira za muda,sensa[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaa, kuna mtu yeye kapata kazi ya Sensa, hatupumui mbna, anasema wanapata Mil 1.

Mie tatizo field, sasa yeye huyu field alikosa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaa, kuna mtu yeye kapata kazi ya Sensa, hatupumui mbna, anasema wanapata Mil 1.

Mie tatizo field, sasa yeye huyu field alikosa.
Kakuongopea[emoji16]. Bado awajatoa majina na pesa ni laki tano tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna hatupumui, yaan anavotusumbua sasa,
Kasema semina siku 3, kila siku 100k, zoezi rasmi enyewe,ndo hiyo mil 1,

Anasema anataka afanyie kitu cha maana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]muongo Hi yo laki tano imedadavuliwa kila kitu semina nk,
 
Back
Top Bottom