andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,183
- 121,065
Shusha kwa chini kidooogo [emoji108]Nilifumua hizi,mshenzi alinikaza balaa,kusuka kwenyewe hawezi View attachment 2289423
Shusha kwa chini kidooogo [emoji108]Nilifumua hizi,mshenzi alinikaza balaa,kusuka kwenyewe hawezi View attachment 2289423
DhambiShusha kwa chini kidooogo [emoji108]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee nimecheka, kesho namshushua mbna, asinitanie kabisaaa. Alivyokua ananirusha roho na hii Sensa, khaaaah.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]muongo Hi yo laki tano imedadavuliwa kila kitu semina nk,
Hakuna kada ya hovyoo kwenye Elimu.Wapo wengi sana mbona? Tengeneza mazingira ya uhitaji kwa taaluma yako hata kwa watu watatu ulio karibu nao, watakufungulia milango kwa kukuunganisha na wengine. Umejijengea uwanja mpana kwasababu haujui kugombana na mtu. Tumia jukwaa hili hili utaona...
Kada yangu ni ya hovyo, haina ajira na kituo cha polisi ni nyumbani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwambie ajiandae kisaikolojia asijishaue sana,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee nimecheka, kesho namshushua mbna, asinitanie kabisaaa. Alivyokua ananirusha roho na hii Sensa, khaaaah.
Titangatilane mewawa.Basi pumzika. Japo mengi haujanijibu huko juu naamini kuna siku nyingine utafanya hivyo.
Tikomane mmammawa... [emoji120]
[emoji120][emoji120]Hakuna kada ya hovyoo kwenye Elimu.
Ahsanteee sana kwa kunifungulia ufahamu.
Ubarikiwe mnooooo.
Kwanza majina hayatoka,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwambie ajiandae kisaikolojia asijishaue sana,
Vigezo na masharti kuzingatiwa[emoji16]
Kwahiyo utamtumbua mwenzio na jipu halijaiva[emoji16]Kwanza majina hayatoka,
Pili hela ni laki 5, tena kila kitu.
Kesho atakoma mwehu huyu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe,Hakika. Mimi ni wa ng'ambo ya ziwa lenu,machache tunaelewana
Ewaa...Kumbe,
Kichewa
Na kingereza[emoji16]Ewaa...
Wee ni mpangwa?Hakika. Mimi ni wa ng'ambo ya ziwa lenu,machache tunaelewana
Wee sikua napumua yaan, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo utamtumbua mwenzio na jipu halijaiva[emoji16]
Mimi ni wa kijijini hicho kilugha kipya kilinishinda [emoji23][emoji23][emoji23]Na kingereza[emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16]bwanjiMimi ni wa kijijini hicho kilugha kipya kilinishinda [emoji23][emoji23][emoji23]
Ludewa ipo pembeni ya ziwa upande wa Tz, ng'ambo kuna Karonga, Mzimba, Nkatabay, Mangochi,...Wee ni mpangwa?
Maana ng'ambo ya ziwa nyasa, ni ludewa,
Ndo wapo wapangwa, pia kuna maneno na lafudhi tunashabihiana nao,
[emoji2440][emoji2440][emoji2440][emoji2440]Hiii...siani zimenezo asis [emoji16][emoji16][emoji16]
Aaaaah ouk hapo sawaaah.Ludewa ipo pembeni ya ziwa upande wa Tz, ng'ambo kuna Karonga, Mzimba, Nkatabay, Mangochi,...