Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,986
- 48,479
😂Sijapenda Anko kwann msituambie😂😂😂😂😂 Anko niache na uzee wangu
😂Sijapenda Anko kwann msituambie😂😂😂😂😂 Anko niache na uzee wangu
Si nikasinzia, yaani hili baridi ukipanda tu kitandani linahamasisha usingizi😂Kabla sijalala nitaweka na second born,, nikiweka third born ndio utavurugika balaa 🤣🤣
Imekula kwako 😛Si nikasinzia, yaani hili baridi ukipanda tu kitandani linahamasisha usingizi😂
Em niwaone mkiwa wote mapacha wa3
Hujambo jirani...Kumbe
Hujambo jiranii.Imekula kwako 😛
Zip ur zipper 🙈
Sijambo, shikamoo..Hujambo jiranii.
Ngoja nimuulize Bibi yako hapa kama ameona ulichokiona 🙈🤪🤪🏃🏃🏃Zip ur zipper 🙈
🤣🤣 muulizeNgoja nimuulize Bibi yako hapa kama ameona ulichokiona 🙈🤪🤪🏃🏃🏃
Marahaba jirani....Sijambo, shikamoo..
Bibi yako kasema ngoja anitafutie Miwani nijione mwenyewe 🤪🤪🤣🤣 muulize
Kweli kbs mkuuVumbi lina reduce nerve sensitivity kwenye penis, sasa ina maana hakuna raha tena
Aki huwezi nifanyia huo ukatili jamani😅Imekula kwako 😛
😁😁 mpaka upate miwani si itakuwa ishajifunga yenyewe kimiujizaBibi yako kasema ngoja anitafutie Miwani nijione mwenyewe 🤪🤪
Still waiting 🤗
Kwanini nisiweze wakati nishafanyaAki huwezi nifanyia huo ukatili jamani😅
Umeamkaje jiraniSalam kwenu wadau...