andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,183
- 121,065
Kumbe ni mwenyeji huku?Ruhuwiko? Sio unasemea national milling, ndo kuna ofisi na yard ya Super feo/selous.
Kumbe ni mwenyeji huku?Ruhuwiko? Sio unasemea national milling, ndo kuna ofisi na yard ya Super feo/selous.
Dahh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hospital ya mkoa au wilaya?
Zipo sido eeh,Ruhuwiko? Sio unasemea national milling, ndo kuna ofisi na yard ya Super feo/selous.
Tena mwenyeji haswaaa, Songea yote naijua. Chocho zote nazimanyaaa.Kumbe ni mwenyeji huku?
Ulidhani nini??Dahh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],watoto wa watu hawa jamani[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kna some1 alikua analeteaga skuli, akija kunitembeleaa.
Huyu anasemea Pale Ruhuwiko national milling, kule Yard anakopaki magari mabovu, na yaliyotumika sanaa, pia kuna yale ya mizigo ndo anaya park kulee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zipo sido eeh,
Najua anapapasa tu[emoji23]
Ni vile hajawahi hata kunifananisha,,,ingekuwa mbinga kidogo angepatia lkn sio maana sio maana sitokagi bila sababu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ulidhani nini??
Mwenyeji yupo,endelea kutaja maeneo[emoji16]
Una unywelee dada, umekuzaaa. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Unataka uzikate?View attachment 2289419
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeeeeeh.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],watoto wa watu hawa jamani[emoji16]
Naam... Nywele za singa hizo [emoji173]Unataka uzikate?View attachment 2289419
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Songea hata sio kubwaa, ukitembea KM chache ushamaliza mji.Ulidhani nini??
Mwenyeji yupo,endelea kutaja maeneo[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]kumbe,yaani. Hapa nilishapotezaga kumbukumbu[emoji16]Huyu anasemea Pale Ruhuwiko national milling, kule Yard anakopaki magari mabovu, na yaliyotumika sanaa, pia kuna yale ya mizigo ndo anaya park kulee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ruhuwiko vumbi tena jekundu utadhan wamechimbua vufusi, km sio town bhana.
Lini utaenda Mbeya tena?[emoji23][emoji23][emoji23]kumbe,yaani. Hapa nilishapotezaga kumbukumbu[emoji16]
Tuliwahigi kushuka pale tulikaa sana, tulikuwa tunasubiri tubadilishiwe gari/super feo. Nilikuwa natoka mbeya.
Zinanusurika mkasi kila leo[emoji23]Una unywelee dada, umekuzaaa. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Usilale,mwenzio naogopa hapa[emoji23]Naam... Nywele za singa hizo [emoji173]
Kutokulala mapema kuna raha yake Wallah
Kweli kama Mbinga tu,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Songea hata sio kubwaa, ukitembea KM chache ushamaliza mji.
Unataka unipe lifti?Lini utaenda Mbeya tena?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yeaaaah ndo hapo hapo, hata kipindi gari wanakataza kushusha pale stand mjini, abiria wa Mbinga na nyasa, waliokuaa wanatoka Dar, walikua wanaenda kusubirishwa kule Ruhuwiko ili wapande bus la mbinga.[emoji23][emoji23][emoji23]kumbe,yaani. Hapa nilishapotezaga kumbukumbu[emoji16]
Tuliwahigi kushuka pale tulikaa sana, tulikuwa tunasubiri tubadilishiwe gari/super feo. Nilikuwa natoka mbeya.