Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Greetings brod. Aisee count me in. Hiyo safari ya dubei can wait tu. Ukinipeleka tu kwenye view kama niliyoiona hapo; mbona ntaongezeka uzito kwa raha dada akoGreetings Sis.. Dubei si mpaka tupate vibali maalumu!!
In meantime njoo tu tule pweza huku tukiangalia ocean tides. And u know what?? I miss stone skipping with someone I like [emoji39][emoji14][emoji39][emoji14]
Mkuu
Hebu Leo tuzungumze mustakabali wa nchi yetu...
Hebu tufanye tafakari ya pamoja kuhusu mwenendo wa demokrasia hasa tukiangazia mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa.
Shida iko wapi?
Nitajitahidi Leo nisiingie kwenye huu uzi
Dogo acha kuchekesha walionuna[emoji1787][emoji1787]
Mimi si ndiye nilikuwa nakubeba na kukutoa kamasi[emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]bora mimi nachekesha walionuna wewe naona unataka 'kuwaamsha waliolala' kwa huu uongo wako..watoto wa siku hizi adabu yenu sijui i wapi..
Mwili wa binadamu kichwa cha emoji
Haya ni matumizi mabaya ya picha waambie na wenzio huko juu waliotangulia
We sio mnene karma
Nitarudi hapa kumjibu mjeda tu.Sasa unaenda wapi na wewe si ubaki tu humu jamani??
Nitarudi hapa kumjibu mjeda tu.
Uzi gani nipo tangia unaanza Hadi Sasa comment ya ef 20 huko.
Naenda kule kwa CAG[emoji1]
Subiri niingie kilingeni you will be surprised
. watatupia bila dalili.. Tena zitakuja na upepo wa kisulisuli
Mimi dawa yako haijanikamata[emoji2].[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Narudi na kule mmu.Ah kumbe unaenda siasani,, ungekuwa unaenda kwingine ningekufuata ila kama ni huko safari njema tu mama..
Mara sukari hamna kwenye uji.Hahahaah..yule mzee mwantimwa alikuwa jirani yangu pale loleza sec..
Tumeishi pamoja pale kwenye zile Kota kabla hajahama rasmi..
Mkewe na watoto walikuwa wanauwata wazuri Sana..niliwapenda.
Kuhusu jina umepatia kabisa.. you're so smart my dear[emoji8].
Ila mwakaleli bhna migomo yenu ilikuwa inachekesha[emoji23].. Mara mmegoma sababu mnataka wali nyama.
Hakuna kabisaa jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]