asante uachane na Manyuu sasa😅😅Polee
asante uachane na Manyuu sasa😅😅Polee
Ahahahah Siwezi kuhama timu Mimi sio wamachinga wakusini...wanahama timu na mchezajiasante uachane na Manyuu sasa😅😅
Hiyo mbezi ambiere?Najilipuaa lipuuuuView attachment 2287507
nasikia ‘magwaya’ anakua kapteni next season😅😅😅 hv hamjihurumii??Ahahahah Siwezi kuhama timu Mimi sio wamachinga wakusini...wanahama timu na mchezaji
uncle ni handsome hivi 💋💋🔥🔥Najilipuaa lipuuuuView attachment 2287507
Yule ndio kapteni bora wewe...kile kilichomkumba ni upepo mbaya tuunasikia ‘magwaya’ anakua kapteni next season😅😅😅 hv hamjihurumii??
🤣🤣Hii nchi ina vijana wa hvyo sana View attachment 2286017
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Salama kabisa mkuuSalam kwenu wote
Aah wapi wherever he play anaplay against timu yenuYule ndio kapteni bora wewe...kile kilichomkumba ni upepo mbaya tuu
🙏🙏Pamoja nawe mkuuView attachment 2287515
Hujambo jirani, unaendeleajeUmefuraaahi!!
Subiri msimu uanze, utabadili mtazamo wako kuhusu beki bora.Aah wapi wherever he play anaplay against timu yenu
anafanya mistakes mingi,
tatizo manyuu mshazoea ule ‘nit the result we wanted’ ‘we will come back stronger’ 😅😅😅😅😅😅😅😅
😅😅😅 mie nipo kwa machempion wa yuropaSubiri msimu uanze, utabadili mtazamo wako kuhusu beki bora.
Wewe upo timu gani kwanza?
SawasawaAende alipo chukulia cheti, awe na vielelezo halisi vya hilo jina lililo kosewa.
Atalipia gharama ya ku print upya. Hakuna longo longo
England upo timu gani wewe😅😅😅 mie nipo kwa machempion wa yuropa