myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,792
- 721,062
England upo timu gani wewe
Afadhali 😘😘😘The blues 💙
Kapteni wetu ni nestilevo sio wa mchongo😅😅😅
Jipe moyo...hiyo timu itapotea kama Air MalaysiaThe blues 💙
Kapteni wetu ni nestilevo sio wa mchongo😅😅😅
Aibu sanaAah wapi wherever he play anaplay against timu yenu
anafanya mistakes mingi,
tatizo manyuu mshazoea ule ‘nit the result we wanted’ ‘we will come back stronger’ 😅😅😅😅😅😅😅😅
Hujambo jiraniAfadhali 😘😘😘
Mjiandae kulia msimu huuAfadhali 😘😘😘
Sijambo, za kuadimika?Hujambo jirani
Salama jirani..nilikuwa kwa sikukuuSijambo, za kuadimika?
Manyuuu 😃😃😃Mjiandae kulia msimu huu
Atlisti tunajielewa 😅😅😅😅 Manyuu mo kishow off zaidi yaani hamna wacheza mpiraJipe moyo...hiyo timu itapotea kama Air Malaysia
Ahahahaha kipindi cha mpito kileManyuuu 😃😃😃
Matatizo mliyopitia hata sijayasahau
Woraaaaaa top four 🔥
Hata mualiko aisee!!?Salama jirani..nilikuwa kwa sikukuu
Yule mlikua hamumpendi sababu alikua anajua sanaAtlisti tunajielewa 😅😅😅😅 Manyuu mo kishow off zaidi yaani hamna wacheza mpira
mna jamaa wa show off
heri pog kaondoka mmestirika kiduchu😅😅😅
wako konferensi ligi afu yule goti wao anawatishia kuhama 😅😅😅😅😅 soon watakua relegatedManyuuu 😃😃😃
Matatizo mliyopitia hata sijayasahau
Woraaaaaa top four 🔥
Ntakualika binafsi jirani kama ruhusa ipo..Hata mualiko aisee!!?
Yule akisepa hakuna shida, sasa tuna mwalimu mzuri.wako kongerensi ligi afu yule goti wao anawatishia kuhama 😅😅😅😅😅 soon watakua relegated
😅😅😅😅 ana hairstyle mingi kuliko hata magoli anaplay vzur sema mvivu yaani kilazaYule mlikua hamumpendi sababu alikua anajua sana
Sema alikua anajikuta kama Faza Fulani hivi...siku akiamua kupiga kazj ni kazi...siku akiwa nduza ni nduza kweli kweli😅😅😅😅 ana hairstyle mingi kuliko hata magoli anaplay vzur sema mvivu yaani kilaza