Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

šŸŽµHallelujah kwa bwanaaaaaaa
Alishinda Calvarrryyyyyyy
Haleee haleee hallelujahhhhhh
Halelujaaahhh Aimennnnnnn!!šŸŽ¶



Muwe na Jumapili njema yenye baraka na furaha tele wapendwa!!
 

Attachments

  • Screenshot_20220710-072908.jpg
    Screenshot_20220710-072908.jpg
    44.4 KB · Views: 15
Ndio naamka saivi shoss akee badae ntaweka usiwaze... ngoja nikapunguze dhambi church kwanza [emoji8][emoji6]!!
Ukapunguze na zangu pia shougaaaah, maan mie nikiendaa kutubu nikitaja dhambi hata padre mwenyewe lazima apate kiharusi km sio kupooza. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom