Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Haya best
Haya best
Simpo sana hio Kuliko changamoto ya majina kwenye NIDA au kwenye salary slip!!!!Uwii mbona balaa
Ndugu yangu ulikuwa wapi sijui, nilipata mualiko sehemu nami nikaoga, nikatinga suti ya urithi, nikaomba nipigwe picha, nikuletee, nikaja nayo, sikukuona, nimeihifadhi kabatini.Jf inasumbua nawadaiz application kaa![]()
Tupia basi tuone uvopendeza mkuu!Ndugu yangu ulikuwa wapi sijui, nilipata mualiko sehemu nami nikaoga, nikatinga suti ya urithi, nikaomba nipigwe picha, nikuletee, nikaja nayo, sikukuona, nimeihifadhi kabatini.
😂 😂
Ngoja dada reymage ajeTupia basi tuone uvopendeza mkuu!
Atakuwa msalaniWeka Ataikuta bana. reymage Dadake Makaveli uko Wapi??
RITA ya Popote pale hata huko kwenu sio hadi Dar!!So hapa inabidi aende RITA ya dar? Kuprocess cheti upya? Sasa shida kadi la clinic nalo lina wrong middle name.
Mm vyeti vya shule vina majina mawili ‘langu na surname na . Debora Laswai
Ila nssf
Bank
Kazini
Nida
Cha kupigia kura … kuna ma3 (Debora Paul Laswai
Cha kuzaliwa tena hiki kina manne 🤣
Mf Debora Paul Laswai Patrick
Sitokuwa na shida huko mbeleni??
Naona ni Live bila chenga!Mshana Jr tunaendelea, hii ilikuwa kama 2013/14 hivi kwa msaada wa galaxy s2, s4 ama HTC sikumbuki toleo gani..
Dk 2.
Sauuwasauuuwa!!2015 kwa msaada wa s4
Dk 2
Antena umegeuzia wapi kwani, kwangu chenga ttu 😂Naona ni Live bila chenga!
Safiiiii
Hahahahaaaa!!!Antena umegeuzia wapi kwani, kwangu chenga ttu 😂
Nishasalimu wakija wengine utawaambia mzee makaveli kapita hapa.Sauuwasauuuwa!!
Akija dada yangu reymage utanishitua nipo pale nakunywa kahawa ☕Hahahahaaaa!!!
Wee unaenda Wapi bado ya sutiiiiiNishasalimu wakija wengine utawaambia mzee makaveli kapita hapa.
Baadae, ngoja nikapige gahawa kwanzaBado ya sutiiiii
Sawasawa mkuu!!Akija dada yangu reymage utanishitua nipo pale nakunywa kahawa ☕
Kwenye kahawaWee unaenda Wapi bado ya sutiiiii