Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,796
Hahaha unapenda kande[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Favorite food
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Hahaha unapenda kande[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Favorite food
Wewe huyo ndo unapenda
Na mm nakuuliza ww unapenda kande[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe huyo ndo unapenda
Unaweza kukesha??😁😁😁Nasubiri hapa sitoki hadi nione 😉😉
Napenda njugu maweNa mm nakuuliza ww unapenda kande[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Nenda kwa ofisi ya DCJamani msaada..
Dogo cheti chake cha kuzaliwa kimekosewa jina la kati (middle name)
Muongozo tafadhali anaanzia wapi?? Hawezi fanyia manuva huku mkoa mpk awe Dar?
Hahaha tamu hizo [emoji23][emoji23]
Ukipika siku nitakaribiaHahaha tamu hizo [emoji23][emoji23]
Karibu
Ndo nazila sasa
Then?
Haya rafiki
Hio simpo tu huna haja ya kwenda Dar .Aende kutengeneza cheti kipya hukohuko alikozaliwa aweke hayo majina sahihi..Jamani msaada..
Dogo cheti chake cha kuzaliwa kimekosewa jina la kati (middle name)
Muongozo tafadhali anaanzia wapi?? Hawezi fanyia manuva huku mkoa mpk awe Dar?
Aende alipo chukulia cheti, awe na vielelezo halisi vya hilo jina lililo kosewa.Jamani msaada..
Dogo cheti chake cha kuzaliwa kimekosewa jina la kati (middle name)
Muongozo tafadhali anaanzia wapi?? Hawezi fanyia manuva huku mkoa mpk awe Dar?
Hio simpo tu huna haja ya kwenda Dar .Aende kutengeneza cheti kipya aweke hayo majina sahihi..
Uwii mbona balaaAende alipo chukulia cheti, awe na vielelezo halisi vya hilo jina lililo kosewa.
Atalipia gharama ya ku print upya. Hakuna longo longo
Baadae basi ngoja niweke smu kwa chajiHaya rafiki