Wala sitauliza😅😅
Wala sitauliza😅😅
Wajukuu wa Kike ndiyo watoaji, hawa wakiume kila siku wanalalamika kwamba maisha ya Mjini magumu 🤪🤪🤪Wajukuu wakike wakiume [emoji856][emoji856][emoji856]
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Macho hayana pazia jamani 🤸♂️🤸♂️Wala sitauliza😅😅
OhoooWajukuu wa Kike ndiyo watoaji, hawa wakiume kila siku wanalalamika kwamba maisha ya Mjini magumu [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Asante sna bestTinsley una enjoy weekend haya enjoy ur wikiend [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Butiama hapo
Safisha miwani vizuri Babu utaona tuUtanitesa Babu yako, muda huo macho yatakuwa hayaoni bila Miwani 🙈
Aisee...
Mchuchu mkali kama wewe DepalSema ugali wa dona una kasura kake spesho [emoji1787][emoji1787]
😂😂😂 kwahiyo dona inaliwa wapi?
Hii ndio Kila kitu kwenye programing.. ukiiva hii kwingine unacheza na syntax tu
roho yangu mie pumzi na uhai wangu .. 🥰🥰🥰Nikihesabu BARAKA zangu nakuhesabu WEWE!!!Nations❤️
Hahaha mikao tu hiyo 😅😅Kwa jinsi hiyo miguu ya kati ilivyo kuna kitu kweli apo 😀😀😀😀 picha ya mchongo
Uende milestone au kipong[emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo dona inaliwa wapi?
Dona linaliwa na wenye kuhitaji afya..😂😂😂 kwahiyo dona inaliwa wapi?
Hapanaaaaa 🤣🤣Uende milestone au kipong
Uagize dona na mboga
Kweli[emoji848]
Kwa mahindi uliyoandaa nyumbaniDona linaliwa na wenye kuhitaji afya..
Ndio..Kwa mahindi uliyoandaa nyumbani