Lile ni abaya au Juba? Majina yananichanganya mnoo.Kama wewe hapo kipenzi nitakuja kukuibia lile Abaya umependeza sanaa
Nipe nimpelekee mimiLile ni abaya au Juba? Majina yananichanganya mnoo.
Njoo chukua tyuuh mwayaa.
Muige hata Lizzy basi hata hapo kwenye chombo cha usafiri unachapa kaselfie kazuuuri tunaenjoy na weekendHahhaa siwezi kuumwaga [emoji28][emoji28]
Mimi naenda shamba boss
Hizo sites sizifahamu .
Haya best ngoja nisubiri madafu tuu na kuhongwa japo buku, selfie nimebaniwa😜Daladala imebana hiyo hakuna hata pa kuselfie
Nitakuletea rafiki .. madafu huwa mazuri sana
Nimeona kama Abaya hiviLile ni abaya au Juba? Majina yananichanganya mnoo.
Njoo chukua tyuuh mwayaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] njoo chukua mpelekee.Nipe nimpelekee mimi
Itakua hivyo ni Abayaaaa. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Nimeona kama Abaya hivi
Nitakuja kipenzi
Hahaha eti kuhongwa [emoji28][emoji28]Haya best ngoja nisubiri madafu tuu na kuhongwa japo buku, selfie nimebaniwa[emoji12]
Ipo miguu miwili mkuu kuna mguu mweusi fulani hivi na mguu mweupeMguu umenona sn[emoji39]
Hayo ndo mazuriHahaha eti kuhongwa [emoji28][emoji28]
Nipo shaggy leo halafu ... Mavazi ya shamba [emoji23][emoji23]
Eti eehHayo ndo mazuri
Kama huna mafanikio jaribu tena na tena, usikate tamaa mpaka umauti, lakini imeandikwa katika lugha ya computer(programming language)Ndo nini
Eeee usiwazeEti eeh
Ndo mavazi yangu hayo
Lakini ukijaribu sana mafanikio yanakujaKama huna mafanikio jaribu tena na tena, mwisho wako ni kifo, lakini imeandikwa katika lugha ya computer(programming language)
Jaribu.Lakini ukijaribu sana mafanikio yanakuja