Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 18,842
- 57,491
Nitajitahidi, nikiona vipi nitaomba Miwani ya Bibi yenu. Naona yake ipo vizuri zaidi kuliko yanguSafisha miwani vizuri Babu utaona tu
Nitajitahidi, nikiona vipi nitaomba Miwani ya Bibi yenu. Naona yake ipo vizuri zaidi kuliko yanguSafisha miwani vizuri Babu utaona tu
Ni poa jirani.. za wewe?Jirani yangu, mambo?
Miss you more my dear!!Nilikumiss tu mama la mama
Shukrani sana mkuu🙏🙏
Shaka ondoa wewe ni wangu tu haijalishi nini
Shaka ondoa wewe ni wangu tu haijalishi nini
Eid MubarakKuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati tunakuwa wavivu kujibu hoja kwa maandishi ama kuchangia. Solution hii HAPA sasa. Utashangazwa na matokeo yake...!!!
Utajikuta kwenye ulimwengu wa furaha isiyo kifani. Fanya hivi, hapo ulipo tupia picha yako ya sehemu yoyote mwilini. Epuka picha yenye kuonesha sura kwa sababu za wazi kabisa. Mimi nitaaza na hizi.
Mwaliko huo vipiEid MubarakView attachment 2285682
Hii sikukuu lini Kwani mbona hatualikani nyie waislamu!!!🤔🤔🤔Eid MubarakView attachment 2285682
Huko umezungukaHapanaaaaa
Si kwa showoffs bali ni huwezi jua kuhusu huo unga na mahindi yake yalikuwaje. Si ajabu yamejaa kuvu

KweliSmile increases face value
Mlale unono wapendwa!!![]()
Wanakaza fuvu etiHii sikukuu lini Kwani mbona hatualikani nyie waislamu!!!![]()
NimeonaSmile increases face value
Mlale unono wapendwa!!![]()
Kumbe leo ni sikukuu???😳😳😳🤔🤔??? Hakii nilikua SijuiWanakaza fuvu eti
KeshoKumbe leo ni sikukuu?????? Hakii nilikua Sijui
Yani kimya kimya sana aseeh!!Wanakaza fuvu eti
Eeee mbongo Kwenye food tenaYani kimya kimya sana aseeh!!
Ahaaa kumbe!! Asante mkuu wacha nisubirie mialiko hapa🙇🙇🙇Kesho
Noma nanusu!!Eeee mbongo Kwenye food tena
Wewe subiri mimi nina deshi mpaka sasahiviAhaaa kumbe!! Asante mkuu wacha nisubirie mialiko hapa![]()