Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,059
- 61,333
Utanitesa Babu yako, muda huo macho yatakuwa hayaoni bila Miwani 🙈Bado Bado nasubiri mida yetu Hadi watu walale Kwanza
Utanitesa Babu yako, muda huo macho yatakuwa hayaoni bila Miwani 🙈Bado Bado nasubiri mida yetu Hadi watu walale Kwanza
Itikia salam yangu Kwanza ww bintiUko maeneo gani Kwa Sasa?
Naijua show hiyoKabisa Mkuu, so delicious [emoji39][emoji39]
Sweetie hainaga salamu hiyooo😄😄. Ww jibu tu mengine yaendelee..
Leo una njaa
Kaugali kaduchu 🥺🥺
Sema ugali wa dona una kasura kake spesho 🤣🤣
Madam Don 🥰🥰🥰
Hahaha.............ingawa Wazee ndiyo tumeshauriwa kula zaidi 🤪Sema ugali wa dona una kasura kake spesho 🤣🤣
wapi maeneo mkuu😃
Huo ugali plus hilo li Samaki unaweza kushindwa kumaliza 🤪🤪Kaugali kaduchu 🥺🥺
unaisha mkuu mpaka mibaHuo ugali plus hilo li Samaki unaweza kushindwa kumaliza 🤪🤪
Umeshawahi kula Samaki ana kilo 3, ndiyo huyu Sasa 😋😋unaisha mkuu mpaka miba
#FoodMongerOnceSaid
Una mpango wa Kuja Kijijini hivi karibuni nimpe taarifa Bibi yako?We mzee kuna namna nakutafuta
Nimealikwa tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wapi maeneo mkuu[emoji2]
Selfika nizimie basi hapaSweetie hainaga salamu hiyooo[emoji1][emoji1]. Ww jibu tu mengine yaendelee..
Wajukuu wakike wakiume [emoji856][emoji856][emoji856]Kwa udhamini wa Wajukuu