AlexProsper
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 3,412
- 6,281
Anazingua huyo[emoji23][emoji23][emoji23] we unamuomba picha Mwanaume mwenzio !!
Anazingua huyo[emoji23][emoji23][emoji23] we unamuomba picha Mwanaume mwenzio !!
Humu situliambiwaga wote ni wanawake akashangaa kumbe Kuna wanaumeKuna Alex wa kike kumbe?
Hamna weweUnanikata stimu 🥹
Sema nikiona ilo chata la edge six nakumbuka kitu 🤣🤣🤣Humu situliambiwaga wote ni wanawake akashangaa kumbe Kuna wanaume
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
In sha'Allah
😁😁Joto? Naboost simu 😝
Madikodiko hayo
Marhaba mtoto mzuri..Endelea hivi hivi kuwa na adabu,inapendeza snSijambo, shikamoo 🤪
Sahani yenyewe jata haijai mkononi...
Nije kulaSahani yenyewe jata haijai mkononi...View attachment 2285505
Kwa udhamini wa Wajukuu
Uko maeneo gani Kwa Sasa?
Huyo samaki mtamu hatariView attachment 2285510
Samaki wa Kuchoma [emoji39][emoji39]
Kuna wajukuu zangu hawawezi kumaliza huyu Samaki [emoji2957]
Kabisa Mkuu, so delicious 😋😋Huyo samaki mtamu hatari