cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,371
- 188,081
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ingizo jipya wee, selfika kumenogaaaa.Mfate na panga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ingizo jipya wee, selfika kumenogaaaa.Mfate na panga
Ndo nataka suprise hiyoooooo. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8].[emoji1787][emoji8][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!! Relaxx Soon nakusaprize shoss angu!!
Sijambooooooo DrCoca hujambo..
Sawa best pambana mm Leo nachil home tu naperuz kwa msaada wako barikiwa sana [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Mishe tu best
Mjini hapa tunatafuta visenti
Yaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ingizo jipya wee, selfika kumenogaaaa.
Asante madam ❤️@@Mjep wahii hukuu mambo matamu yanakupitaaaa!
So beautiful 😘😘
Bhana usiwaze tupo pamojaSawa best pambana mm Leo nachil home tu naperuz kwa msaada wako barikiwa sana [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Akija utamwambia niliweka
Mashallah 😍Waislamu wote, kesho ni sikukuuu ya Eid El Hajjah.
Ntapita huko kwenu kula pilau, tena ntajisitiri vizuriii, ili mkose visingizio,
Ostadhat wa mchongooo, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
View attachment 2285127
Wacha wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaah
Aki na mimi nasubiri unihonge japo buku tu madam, kuna raha wanaume tunapata kama kuhongwa na mtoto wa kikeHahahaha wewe jamaa [emoji28][emoji28]
Yaani sina tu pesa mie lakini ningetoa kweli .
Huwezi amini na maombi yoote nimefanya mtandao umenisaliti nimekosa selfie ya mzungu wetuu😭😭😭😭😭😭Asante madam ❤️
Yaani hapa nalia machozi wallah😭😭😭😭😭😭😭😭 yaani napata uchungu usioelezeka kuikosa selfie yako madam😭😭😭😭😭😭😭Akija utamwambia niliweka
Umepotea snSijambooooooo Dr
Na wewe una deni langu jana umesubiri nimesinzia ndo ukaweka nakedOyaa usijejitundika bob 😅😅😅