Usijejitundika bob 😅😅😅😅 tunakupenda sana 💋Yaani hapa nalia machozi wallah😭😭😭😭😭😭😭😭 yaani napata uchungu usioelezeka kuikosa selfie yako madam😭😭😭😭😭😭😭
Mtandao umenisalitii🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Usijejitundika bob 😅😅😅😅 tunakupenda sana 💋Yaani hapa nalia machozi wallah😭😭😭😭😭😭😭😭 yaani napata uchungu usioelezeka kuikosa selfie yako madam😭😭😭😭😭😭😭
Mtandao umenisalitii🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Nipooo Dr, UE ilinibanaa mnooo.Umepotea sn





Dah pole jumamosi tena basi
Pole mwaya 😅😅😅 and very best wishes dearNipooo Dr, UE ilinibanaa mnooo.
Now niko off, ila j3 tena ntakua on.![]()
Ahsanteee dea, hebu nibariki picha bas mwayaa.Pole mwayaand very best wishes dear
Hahahaha kumbeAki na mimi nasubiri unihonge japo buku tu madam, kuna raha wanaume tunapata kama kuhongwa na mtoto wa kike
Nimevunja siri ya kambi......
Wewe ni madam mzuri mzuri mwenye lips za dhahabu anayebisha aseme hapaHahahaha kumbe
Sasa Mimi nina umadam gani mie
Wewe ndo boss wetu humu ujue ... Haya rafiki
Ishakula kwakeeee itabidi urudie tu just for mr Vocha wetu make uliemtag ameikosa so ufanye Fair play 😉😉😘😘!!Akija utamwambia niliweka
Kama wewe hapo kipenzi nitakuja kukuibia lile Abaya umependeza sanaa
Asante sana ... UbarikiweWewe ni madam mzuri mzuri mwenye lips za dhahabu anayebisha aseme hapa
Ebu tuone..!😜Asante sana ... Ubarikiwe
Mimi wa kawaida mno ,ungeniona hapa navyoswampa
Akiwa online nitaweka tenaIshakula kwakeeee itabidi urudie tu just for mr Vocha wetu make uliemtag ameikosa so ufanye Fair play 😉😉😘😘!!
Mi ndo sijabahatika kuona ukiselfika its sad 😭😭Asante sana ... Ubarikiwe
Mimi wa kawaida mno ,ungeniona hapa navyoswampa
Haha nipo njiani kuelekea BwagamoyoEbu tuone..!![]()
Pole aisee nimeweka nyingi yaani hebu nione kama nitapata ya zamaniMi ndo sijabahatika kuona ukiselfika its sad![]()
Hapo sasa ndo kuna site nzuri ya selfie bestHaha nipo njiani kuelekea Bwagamoyo
Hahhaa siwezi kuumwagaHapo sasa ndo kuna site nzuri ya selfie best
Enjoy your trip to Bwagamoyo, ila uwe makini usiubwage tuu huo moyo tafafhali
